Sensational Tanzanian recording artist, Lava Lava comes through with the release of a brand new music which he titles Tajiri.
This new song from the WCB Wasafi signee happens to be Bongo Flavor genre of song with a fusion of Amapiano feelings.
In this post, Townflex will like to share with you the official Lyrics to the newly released song, see below.
Lava Lava Tajiri Lyrics
BRIDGE
Nilikupigia simu chaji ikakata
Nikakutilia timu mjengoni sijakupata
Akili ikaruka wazimu nitakulaje bata
Wewe ni mtu muhimu nikiwa nawe najipata
VERSE
Kriii! Kriii! Kriii! (Hallo)
Kriii! Kriii! Kriii! (Hallo)
Kriii! Kriii! Kriii! (Hallo)
Kriii! Kriii! Kriii! (Hallo)
Kriii! Kriii! Kriii! (Hallo)
Kriii! Kriii! Kriii! (Hallo)
Kriii! Kriii! Kriii! (Hallo)
Kriii! Kriii! Kriii! (Hallo)
Heheh Lovebite!
LG My G Mr LG
Afadhali nimekuona
Afadhali tumeonana
Afadhali nimekuona
Afadhali tumeonana
Nilikaa kinyonge sana
CHORUS
Tajiri huna adui tajiri
Wacha niagize pombe nyama
Tajiri huna adui tajiri
Nabebe ziletee savana
Tajiri huna adui tajiri
Tajiri atalipa bwana)
Tajiri huna adui tajiri
BRIDGE
Nilikupigia simu chaji ikakata
Nikakutilia timu mjengoni sijakupata
Akili ikaruka wazimu nitakulaje bata
Wewe ni mtu muhimu nikiwa nawe najipata
VERSE
Kriii! Kriii! Kriii! (Hallo)
Kriii! Kriii! Kriii! (Hallo)
Kriii! Kriii! Kriii! (Hallo)
Kriii! Kriii! Kriii! (Hallo)
Kriii! Kriii! Kriii! (Hallo)
Kriii! Kriii! Kriii! (Hallo)
Kriii! Kriii! Kriii! (Hallo)
Kriii! Kriii! Kriii! (Hallo)
Kwanza hunaga mapozi (Hauna mbambamba)
Wala hunaga mamluki (Hauna mbambamba)
Haki ya mungu ukifa uozi (Hauna mbambamba)
Naukioza hunuki
Tulikaa kinyonge sana
CHORUS
Tajiri huna adui tajiri
Wacha tuagize pombe nyama)
Tajiri huna adui tajiri (Wanangu wazimike jama)
Tajiri huna adui tajiri (Tajiri atalipa bwana)
Tajiri huna adui tajiri
OUTRO
Asa mwaga noti mwaga (Mwaga)
Tajiri mwaga (Mwaga)
Asa mwaga noti mwaga (Mwaga)
Tajiri mwaga (Mwaga)
Eeeh mwaga noti mwaga (Mwaga)
Nasema mwaga (Mwaga)
Eeeeh eh mwaga (Mwaga)
Jamani mwaga (Mwaga)
L G L G L G LL G
Shabashiii!
Stream/Download Lava Lava Tajiri Here.
More: Stonebwoy Life & Money Lyrics ft. Stormzy